Ingia / Jisajili

Maloba G_Clef

Mfahamu Maloba G_Clef, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki.

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 16 > Zitazame

Namba ya simu: +254704845661

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Mtunzi huyu ni mpenzi wa muziki wa kikatoliki. Anapenda sana uimbaji na uchezaji wa kinanda na vyombo vinginevyo vya muziki. Ana roho ya kujifunza zaidi na zaidi.