Ingia / Jisajili

Mayebwa.ii.ek.

Mfahamu Mayebwa.ii.ek., mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la MWANZA Parokia ya KAHANGARA

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 14 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: MWANZA

Parokia anayofanya utume: KAHANGARA

Namba ya simu: 0758267506

Soma Historia na maelezo yake hapa

Historia / Maelezo

(Ee Mungu nimekuita) kwa maana utaitika.x2 Utege sikio lako ulisikie Neno langu.x2

  • 1.Ee Bwana unilinde kama mboni ya jicho, unifiche chini ya uvuli wa mbawa zako.
  • 2.Dhihirisha Fadhili zako za ajabu, Wewe uokoaye wanaokukimbilia.
  • 3.Ee Bwana usimame ukabili mwinamishe, kwa upanga wako niokoe nafsi yangu.