Ingia / Jisajili

Meshack Joseph Migwano

Mfahamu Meshack Joseph Migwano, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la GEITA Parokia ya Yesu Kristo Mchungaji Mwema - Butundwe

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 4 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: GEITA

Parokia anayofanya utume: Yesu Kristo Mchungaji Mwema - Butundwe

Namba ya simu: +255 797 760 161

Soma Historia na maelezo yake hapa

Historia / Maelezo

Kwa Majina naitwa MESHACK JOSEPH MIGWANO (Migwano JM). Mzaliwa wa mkoa wa KIGOMA,.Nilijifunza taaluma hii ya Muziki mwaka 2007 kupitia kwa Mwalimu mahiri DEOGRATIAS MITIMA, pia na walimu wengine wote walionisaidia kupata maarifa haya bila kumsahau Mwalimu Zacharia Mganga "ZaM" kwa kunipatia ujuzi na kanuni za uandishi wa nyimbo za muziki Mtkatifu.

Utume:- Kwaya ya Mt.Petro Mtume,Kigango cha Saragulwa,Parokia ya Yesu Kristo Mchngaji Mwema - Butundwe, Jimbo Katoliki la Geita.

"TUMTUMIKIE MUNGU TUNGALI HAI KABLA HAZIJAJA SIKU MBAYA ZA KUTUZUIA KUMTUMIKIA MWENYEZI MUNGU"