Ingia / Jisajili

Mgani William Ntahiyehe

Mfahamu Mgani William Ntahiyehe, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Tabora Parokia ya Magiri

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 7 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Tabora

Parokia anayofanya utume: Magiri

Namba ya simu: 0652530683

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Mgani William Ntahiyehe ni mwalimu wa nyimbo wa kwaya ya Mt.Maria wa Rozari Takatifu, Kigango cha Watakatifu wote Ilalwansimba, kilichopo karibu na ofisi za halmashauri ya wilaya ya Uyui. Pia amewahi kuhudumu katika kwaya ya Mtakatifu Josefu, kigango cha Igoko kilichopo parokia ya Ndala toka mwaka 2001 hadi 2002. Kijamii ni mkulima na mjasiliamali mdogo.