Ingia / Jisajili

Michael Matai

Mfahamu Michael Matai, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Dar es Salaam Parokia ya Ukonga

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 17 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Dar es Salaam

Parokia anayofanya utume: Ukonga

Namba ya simu: 0713 831 335

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Michael Peter Tabuya (Matai) ni mwenyeji wa mkoa wa Mara wilaya ya Tarime. Ni mwalimu na mtunzi katika kwaya Mt Secilia Parokia ya Ukonga. Kitaaluma ni mwana TeHaMa na kwa sasa anafanya kazi katika mgodi wa serikali Stamigold Biharamulo Mine kama CCTV Operator.