Ingia / Jisajili

Mongassa

Mfahamu Mongassa, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Geita Parokia ya Bikira Maria Malkia wa Amani GEITA

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 19 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Geita

Parokia anayofanya utume: Bikira Maria Malkia wa Amani GEITA

Namba ya simu: 0767600062

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Jina: Moses Ngassa (Mongassa)

Kuzaliwa: 25/09/1982

Mahali: Nzega TABORA.

Shule: Msingi 1993 ___1999 Nzega

Secondary:  2000----2003(O level MINAKI ) 2004---2006 Makongo 

Chuo: Kampala International University. 2013.

Mzumbe University---MBA( corporate management) 2016

Udsm: Phd naendelea na Masomo. 2019..........

Elimu ya Muziki:

Kuanzia 1994 hadi Leo ni Mwanafunzi wa Muziki sijahitimu Bado.

Uimbaji.

Tokea 1994 hadi Leo namtumikia Mungu kwa kuimba.

Jimbo: Geita.

Mongassa.