Ingia / Jisajili

Msuha Richard, S.

Mfahamu Msuha Richard, S., mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Mbinga Parokia ya Mbambi

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 25 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Mbinga

Parokia anayofanya utume: Mbambi

Namba ya simu: 0754979450 & 0744828447

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Mwalimu wa kwaya ya Mt. Benedict Kigango cha Mateka, Parokia ya Mbambi Jimbo katoliki la Mbinga Pia ni mwalimu katika kwaya ya mtakatifu Sesilia Ruaha Catholic University Katika kipindi cha masomo yangu ktk chuo hicho .....KUIMBA NI FARAJA , KUIMBA KWA MOYO NI KUSALI MARA MBILI ZAIDI..... Tumia kipaji ulichonacho kwa kumsifu mungu AMINA