Ingia / Jisajili

Mwalim Paul M

Mfahamu Mwalim Paul M, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Embu- Kenya Parokia ya Embu

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 6 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Embu- Kenya

Parokia anayofanya utume: Embu

Namba ya simu: 0713316974

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Mwalim Paul M ni mtunzi wa nyimbo za kikatoliki na mcheza kinanda kutoka jimbo la Embu Kenya. Alizaliwa mnamo mwaka wa 1991 na kulelewa katika kanisa la Mtakatifu Anña parokia ya Embu