Mfahamu MWL ABRAHIMU SHIJA SHILONDELA, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la RULENGE - NGARA Parokia ya BWANGA
Idadi ya nyimbo SMN: 1 > Zitazame
Jimbo analofanya utume: RULENGE - NGARA
Parokia anayofanya utume: BWANGA
Namba ya simu: 0623205222
Soma Historia na maelezo yake hapa
Mwalimu Shija Abrahamu shilondela ni mwalimu,Mtunzi wa nyimbo za kikatoliki, na mwanakwaya anaye hudumu kwaya za parokia ya Bwanga katika jimbo Katoliki la Rulenge Ngara