Ingia / Jisajili

Obuya Joseph Ochieng

Mfahamu Obuya Joseph Ochieng, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Nairobi Kenya Parokia ya St.John the Evangelist

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 14 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Nairobi Kenya

Parokia anayofanya utume: St.John the Evangelist

Namba ya simu: +254727993218

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

NAJISIFIA UNDAIFU WANGU

Ninajisifia, U dhaifu wangu, ili uweza wa kristu ukae juu yangu, kwa maana ninapi kuwa dhaifu ndipo lilipo kuwa na nguvu

1. Sina budi kujisifia japo kuwa haipendezi

    Lakini najizuia nisihesabiwe hatia 

              ( Bali ninasema Ukweli juu ya maono nilopewa)

2. Sababu ya mafunuo hayo napewa mwiba mwilini

    Nikamsihi Mungu wangu jambo hili liniepuke

              ( Naye akaniiambia, neema yake inatosha)

3. Napendezwa na udhaifu, dharau tabu na mateso

    Nakuya vumilia yoye haya kwa ajili ya kristu

              (Kwani uweza wake Mungu,hutimia kwa udhaifu)