Ingia / Jisajili

Pascal F. Mgasa

Mfahamu Pascal F. Mgasa, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la MOROGORO Parokia ya MOROGORO

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 1 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: MOROGORO

Parokia anayofanya utume: MOROGORO

Namba ya simu: 0755 755 000

Soma Historia na maelezo yake hapa

Historia / Maelezo

                                          CHAKULA CHA MBINGU

1. Chakula cha Mbingu  sasa tayari twendeni wote tukale chakula cha uzima  ..x2

1. Twendeni Waumini tukale chakula cha uzima wa milele.

2. Bwana ametualika twende mezani ametuandalia karamuye

3. Kwanza tujitakase ndipo tujongee tule karamuye tukiwa safi.

4. Mwili wa Bwana Yesu ni chakula kweli Damu yake ni kinywaji cha Roho