Ingia / Jisajili

Pascal Mussa Mwenyipanzi

Mfahamu Pascal Mussa Mwenyipanzi, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Nairobi Parokia ya Assumption of Mary Umoja

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 231 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Nairobi

Parokia anayofanya utume: Assumption of Mary Umoja

Namba ya simu: +254 79 98 95 994

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Naitwa Pascal Mussa Mwenyipanzi, nilizaliwa tarehe 03.07.1983 Lweba mashariki mwa Jamuhuri ya Congo(DRC). Nilisoma kunako chuo kikuu cha Maendeleo mjini Bukavu-Congo. Mimi ni Mtunzi, Mwalimu wa kwaya na pia mcheza kinanda. Nimeshakuwepo kwenye kwaya tofauti katika nchi tofauti: DRC, TANZANIA, BURUNDI, KENYA. Kwa sasa naimba kwenye kwaya ya Saint Therese of the Child Jesus Jimboni Nairobi -Kenya, Parokia ya Assumption of Mary Umoja.