Ingia / Jisajili

Paschal Francis Mgassa

Mfahamu Paschal Francis Mgassa, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la SINGIDA Parokia ya PAROKIA YA MANDEWA

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 10 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: SINGIDA

Parokia anayofanya utume: PAROKIA YA MANDEWA

Namba ya simu: 0622234452

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

MAOMBI YANGU YAFIKE

Maombi yangu yafike mbele zako ( mbele zako) uutegee ukelele wangu sikio lako Ee Bwana x2

1. Ee Bwana Mungu wa wokovu wangu, mchana na usiku nimelia mbele zako.

2. Maombi yangu na yafike mbele zako, uutegee ukelele wangu sikio lako.

3. Maana nafsi yangu imeshiba taabu, uhai wangu umekaribia kuzimu.