Ingia / Jisajili

Paschal Pamba (Papa)

Mfahamu Paschal Pamba (Papa), mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Shinyanga Parokia ya Bugisi

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 1 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Shinyanga

Parokia anayofanya utume: Bugisi

Namba ya simu: +255714844182

Soma Historia na maelezo yake hapa

Historia / Maelezo

Paschal Pamba (PAPA) ni mtunzi wa nyimbo za Kikatoliki na muimbaji bora wa sauti ya tatu. Aidha, PAPA anacheza kinanda na hutumia muda wake mwingi katika kumtumikia Mungu kwa kutunga nyimbo na kujiandaa kucheza kinanda.