Ingia / Jisajili

PETER JIHANGO(PJ)

Mfahamu PETER JIHANGO(PJ), mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la SINGIDA Parokia ya MT. GASPAR ITIGI

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 68 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: SINGIDA

Parokia anayofanya utume: MT. GASPAR ITIGI

Namba ya simu: 0678445492

Soma Historia na maelezo yake hapa

Historia / Maelezo

Peter Michael Jihango ni Mwalimu wa Kwaya Katoriki na Mzaliwa wa parokia ya Kristo Mfalme Igunga Jimbo Kuu katoliki Tabora. Ni Mwalimu niliyewahi kuhudumu Katika parokia Mbalimbali Akianza kuhudumu katika Parokia Ya Kristo Mfalme Igunga,Parokia ya Mt.Gasper Itigi-Singida,Parokia ya Mt.Anthony Wa Padua Kaliua,Tabora Cathedral,Parokia ya Mt Fransco xaveir Chuo kikuu cha Dodoma(UDOM),Singida Cathedral,Parokia ya Nduguti-Singida,Parokia ya Mt. Gasper Makole-Dodoma,Parokia ya Nyakahoja-Mwanza na kwa sasa Parokia ya Mt Yosefu Mfanyakazi Mandewa-Singida