Ingia / Jisajili

Prf Alex Vicent Mgando Kadyenke

Mfahamu Prf Alex Vicent Mgando Kadyenke, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Jimbo Kuu Tabora Parokia ya Ipuli Familia Takatifu

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 5 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Jimbo Kuu Tabora

Parokia anayofanya utume: Ipuli Familia Takatifu

Namba ya simu: 0685529004

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Kuzaliwa 1969 parokia Kabanga kasulu . Mafunzo ya mziki Awali Padre F. Ntapambata , Katekist Babu Filipo., Nikaendelezwa na masomo mengine John Mgandu, Nganga , Kallus , Petro Maganga, na prf. Nyamiti kwa muda mlefu myaka 12 Tabora na Walimu wengine. Ninaishi parokia ya Ipuli familia Takatifu Tabora na familia yangu Mke na Watoto 9 katika ndoa . Kwaya Mama na mlezi Ni Watakatifu Mashahidi wa Uganda Tabora Jimbo Kuu la Mt. Telesia wa Mtoto Yesu Tabora. Kwa Sasa nafanya utume parokia a ya Mt. Yosefu mfanyakazi Mandewa - Singida.