Ingia / Jisajili

Prosper T. Sekibaha

Mfahamu Prosper T. Sekibaha, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Tabora Parokia ya Familia takatifu, Ipuli

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 1 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Tabora

Parokia anayofanya utume: Familia takatifu, Ipuli

Namba ya simu: 0714828438

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Nilianza kujifunza muziki na kucheza kinanda tangu nikiwa seminary same. Baada ya hapo nilikutana na walimu tofauti watunzi wakubwa wa muziki. Nilibahatika kujifunza mziki kwa Prof Nyamiti Mungu amrehemu japo nilikaa naye kwa muda mfupi sana