Ingia / Jisajili

Romario Mhofu

Mfahamu Romario Mhofu, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la kigoma Parokia ya Kabanga

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 4 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: kigoma

Parokia anayofanya utume: Kabanga

Namba ya simu: 0762552159

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Romario Manfred Mhofu, ni Mwalimu na Muasisi wa kwaya ya Mt. Kizito kigango cha Kanazi(2014), Parokia ya kabanga,  Jimbo katoliki la kigoma. Alizaliwa tarehe 17/7/1994 Katika kigango cha Kanazi, lazuli, kigoma. Kwasasa anafanya utume katika Parokia ya Mt. Maximilian Maria Kolbe, Mwenge, Jimbo kuu la Dar es Salaam, katika  Kwaya ya Mt. Augustino. Pia Amewahi kufanya utume Jimboni kigoma (cathedral ) na kwaya ya Bikira Maria Mshindaji (BMM) mwaka 2017-2018. 

Pia ni Mwanakwaya wa sauti ya nne (tangu2007) na mdau mkubwa wa muziki wa kanisa katoliki (Muziki Mtakatifu).