Ingia / Jisajili

Samwel Mapande

Mfahamu Samwel Mapande, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la MWANZA Parokia ya Pasiansi

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 13 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: MWANZA

Parokia anayofanya utume: Pasiansi

Namba ya simu: 0755409028

Soma Historia na maelezo yake hapa

Historia / Maelezo

Mwl Samwel Mapande ni mwl anayefanya utume wa uimbaji katika parokia ya Pasiansi jimbo kuu la Mwanza. Pia nje ya ualimu wa kwaya na uimbaji pia. Mwl Mapande ana taalauma ya Ualimu (Diploma in Education)