Ingia / Jisajili

Sebastian Don Ndibalema

Mfahamu Sebastian Don Ndibalema, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Arusha Parokia ya Kwangulelo

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 12 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Arusha

Parokia anayofanya utume: Kwangulelo

Namba ya simu: +255 756 611 211, +255 784 611 211

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Ninaishi Arusha, Parokia - Kwangulelo. Ni mwanakwaya wa kwaya ya mt. Fransisco wa Asizi, Kwangulelo - Arusha. Naimba sauti ya 3 na ni mwalimu wa kwaya. Napenda kutunga na kuimba zaidi ya kupiga vyombo. Pia ni mwanzilishi wa kundi la THE HEALING MELODIES aka THE SINGING ARMY lililopo Arusha.
 

Naamini muziki hauna mwisho, kwahiyo kila siku najitahidi kujifunza vitu vipya na ninafurahi ninapobadilishana mawazo ya kiufundi na wanamuziki wengine
 

Elimu yangu ni fani ya utalii (B. Tourism Mgt)