Ingia / Jisajili

Sekwao Lrn

Mfahamu Sekwao Lrn, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la DAR ES SALAAM Parokia ya BUZA MT.TERESIA WA MTOTO YESU

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 97 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: DAR ES SALAAM

Parokia anayofanya utume: BUZA MT.TERESIA WA MTOTO YESU

Namba ya simu: 0757329533

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Ninaitwa SEKWAO LRN ni mwimbaji sauti ya tatu na ya nne katika kwaya ya Mt. Bikra Maria mpalizwa mbinguni (BMMM) hapa BUZA parokia ya mt.Teresia wa mtoto Yesu. Mwenyeji wa mkoa wa Dodoma Parokia ya Mlali. Nilianza kazi hii ya utume wa uimbaji mwaka 2003 nikiwa Darasa la Tano Huko Dodoma Kigango cha Ihanda. Na kukua kiuimbaji huko KIBITI SEC SCHOOL. Mpaka sasa ni mwl wa music na Elimu yangu niliipata Chuoni Vikindu chini ya mwalimu wangu/ mkufunzi Mutaremwa na D. Makwasa. Mungu awape maisha marefu na amani tele. Nawatakia utume mwema