Ingia / Jisajili

Selestine Luhende

Mfahamu Selestine Luhende, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Kahama Parokia ya Roho Mtakatifu - Majengo

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 1 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Kahama

Parokia anayofanya utume: Roho Mtakatifu - Majengo

Namba ya simu: 0787 656 854

Soma Historia na maelezo yake hapa

Historia / Maelezo

Selestine Luhende ni Mwalimu Mtunzi na Mcheza Kinanda katika Kwaya ya Mt. Maria Goreth, Kigango cha Mhongolo, Parokia ya Roho Mtakatifu-Majengo, Jimbo Katoliki- Kahama