Ingia / Jisajili

Stanslaus Butungo

Mfahamu Stanslaus Butungo, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Dar es Salaam Parokia ya Kristu Mfalme, Tabata

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 47 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Dar es Salaam

Parokia anayofanya utume: Kristu Mfalme, Tabata

Namba ya simu: +255 752 580 252

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

"Ee Bwana, nisipokuimbia mimi nani atakuimbia? Nisipokutungia nyimbo nzuri nani atakutungia nyimbo? Nisipotumia viungo vyangu kukusifu nani atafanya hivyo? Basi nilaaniwe nitakapotumia talanta hii kujipatia kipato ama kwa ajili ya sifa na utukufu wangu. Amina"

 

Stanslaus Peter Butungo, Assistant lecturer Ardhi University, P.O.Box 35176 Dar es Salaam

Phone : 0752 580 252

E mail: butungo@gmail.com, butungo@yahoo.com