Mfahamu Stephen Charo, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Mombasa Parokia ya Kilifi
Idadi ya nyimbo SMN: 21 > Zitazame
Jimbo analofanya utume: Mombasa
Parokia anayofanya utume: Kilifi
Namba ya simu: +254792680907
Soma Historia na maelezo yake hapaWasiliana na mtunzi kwa email:
Mimi ni mwimbaji parokiani na mtunzi na mcheza kinanda ambaye yumo safarini, safari ya kuendelea kujifunza mambo mapya kila uchao. Tamanio langu kubwa ni kumtukuza Mungu kwa njia ya kuimba. pia kuandika nyimbo.