Ingia / Jisajili

Sylvester Ernest

Mfahamu Sylvester Ernest, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Dar es Salaam Parokia ya Makuburi

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 3 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Dar es Salaam

Parokia anayofanya utume: Makuburi

Namba ya simu: +255 713 975 788, +255 755 723 126

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Sylivester, akiwa mwanakwaya kwa kipindi cha miaka 16 mfululizo ameimba- sauti ya tatu na ya nne kwa nyakati tofautitofauti kutegemeana na mahitaji. Hivi sasa ni mwanakwaya wa Kwaya ya Mt Kizito Parokia ya Makuburi akiimba sauti ya nne.
 

Sylivester bado ni mwanafunzi wa muziki, mbali ya shughuli zake za kila siku za kumuingizia kipato. Ndoto yake kubwa ni kujua kucheza kinanda. 

 

Kwa sasa Sylivester ni Mwandishi wa gazeti la The Citizen.