Ingia / Jisajili

Terence Vusile Silonda

Mfahamu Terence Vusile Silonda, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Dar es Salaam Parokia ya Upanga

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 1 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Dar es Salaam

Parokia anayofanya utume: Upanga

Namba ya simu: +255715556327

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Terence Vusile Silonda ni mwanakwaya wa miaka 10 sasa. Anaimba sauti ya tatu. Terence ndio mwanzilishi wa Swahili Music Notes, na anajaribu taratibu kufahamu muziki zaidi.

Kwa sasa Terence Vusile Silonda anafanya kazi ZoomTanzania.com. Muda wake mwingi wa ziada huutumia ku-maintain SwahiliMusicNotes.com