Ingia / Jisajili

Teresia Matu

Mfahamu Teresia Matu, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Jimbo Kuu la Nairobi Parokia ya St Francis Xaviour

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 1 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Jimbo Kuu la Nairobi

Parokia anayofanya utume: St Francis Xaviour

Namba ya simu: +254701368617

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

*Nitamhimidi Bwana Kila wakati, Sifa zake zi kinywani mwangu daima, Nafsi yangu katika Bwana itajisifu, wenye moyo mnyenyekevu wasikie wafurahi*

1. Nalimtafuta Bwana , Naye akanijibu, Akaniponya na hofu na taabu zangu zote.

Wote: Ndiyo maana Mimi namtukuza

2. Wamwekekea macho nao wakatiwa nuru, Nazo nyuso za hao hazitaona haya

Wote: Ndio maana Mimi....

3. Malaika wa Bwana hufanya kituo, A'kiwalinda wamchao na kuwaokoa. 

Wote: Ndiyo maana..