Mfahamu Thobias Salvatory Ngalamika, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Sumbawanga Parokia ya Muze
Idadi ya nyimbo SMN: 1 > Zitazame
Jimbo analofanya utume: Sumbawanga
Parokia anayofanya utume: Muze
Namba ya simu: +255 620 408 626
Soma Historia na maelezo yake hapaWasiliana na mtunzi kwa email:
THOBIAS SALVATORY NGALAMIKA alizaliwa mnamo tarehe 11/06/1982 katika Kijiji cha kabwe parokia ya UTINTA jimbo katoliki la MPANDA kwa sasa ni mwalimu wa kwaya ya Mt, Maria Imakulata kigango cha Mtakatifu Yosefu Mfanya kazi KALUMBALEZA parokia ya Msalaba Mtakatifu MUZE jimbo katoliki la SUMBAWANGA•