Ingia / Jisajili

Thomas Masare

Mfahamu Thomas Masare, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Arusha Parokia ya Utatu Mtakatifu-Morombo

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 4 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Arusha

Parokia anayofanya utume: Utatu Mtakatifu-Morombo

Namba ya simu: 0755643733 na 0621630902

Soma Historia na maelezo yake hapa

Historia / Maelezo

Nimehudumu katika kwaya mbalimbali zikiwemo

1.Kwaya ya Mashahidi wa Uganda-Singida

2.Kwaya ya Mt.Lucia-Ngarenaro Arusha

3.Kwaya ya Mt.Cesilia-Njiro Arusha

4.Kwaya ya Kristo Mfalme-Kwa Morombo Arusha