Ingia / Jisajili

Valentine Ndege

Mfahamu Valentine Ndege, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la GEITA Parokia ya Mt. Fransisco wa ASIZI-Mugumu SERENGETI

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 204 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: GEITA

Parokia anayofanya utume: Mt. Fransisco wa ASIZI-Mugumu SERENGETI

Namba ya simu: 0758084222

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Mwl Ndege ni mtunzi wa nyimbo za kikatoliki mzaliwa wa Parokia ya Mt. Yakobo mkuu Mtume Mwangika Jimbo katoliki la Geita kwaya ya Mt. John Bosco. Kwaya alizowahi kuhudumia/kufundisha ni pamoja na:

 • Mt. John Bosco-Mwangika
 • Kigango cha Kasheka
 • Kigango cha Kahunda
 • Kigango cha Luhama
 • Kigango cha Katwe
 • Kigango cha Bulolo
 • Kigango cha Kisaba
 • Kigango cha Bupandwamhela
 • Kigango cha Bugombe
 • Kigango cha Nyichoka
 • Kigango cha Mwabasabi
 • Kigango cha Machinjioni-Tabora
 • Kwaya ya chuo cha Ardhi-Tabora
 • Kwaya ya chuo cha Nyuki-Tabora
 • Kwaya ya kigango cha Kanoni
 • Kwaya ya kigango cha Kamanga-Nyantakubwa
 • Kwaya ya Parokia ya Nyantakubwa
 • Kwaya ya kigango cha Nyamatongo
 • Kwaya ya Kigango cha Mabatini-Mwanza
 • Kwaya ya Parokia ya Cheo-Tabora
 • Kwaya ya Jimbo kuu Tabora
 • Kwaya ya Mt.Yokobo mkuu  mtume-Mbande Dar es Salaam


Na sasa yupo anahudumu katika kwaya ya Mt. Maria-Mugumu Serengeti