Ingia / Jisajili

Vicent Lukwije

Mfahamu Vicent Lukwije, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Morogoro Parokia ya Gairo

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 1 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Morogoro

Parokia anayofanya utume: Gairo

Namba ya simu: 0653801949

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Vicent LUKWIJE ni Mwanakwaya wa muda mrefu na sasa amejikita kwenye ufundishaji na utunzi wa nyimbo za Kikatoliki. 

Anaishi Gairo ambapo anajishughulisha na Ujasiriamali.