Mfahamu Wolfgang Amadeus Mozart, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki.
January 27, 1756 huko Salzburg alizaliwa, Austria, Wazazi wake ni Leopold na Maria Pertl Mozart. alikuwa mwanamuziki wakuweza kupiga vyombo vingi na alianza kupiga vyombo hivyo akiwa na umri wa miaka 6,
Enzi za uhai wake alifanikiwa kutunga nyimbo nyingi sana zaidi ya elfu zenye maudhui mbalimbali baadhi ya nyimbo alitunga ni pamoja na sonatas, symphonies, masses (misa), chamber music, concertos and operas, Alikuwa na uwezo wa kusikiliza wimbo na kuuandika kama ulivyo.
Mozart alifariki mnamo December 5, 1791 akiwa na umri wa miaka 35.