Ingia / Jisajili

Wolford P. Pisa

Mfahamu Wolford P. Pisa, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Morogoro Parokia ya Gairo

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 37 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Morogoro

Parokia anayofanya utume: Gairo

Namba ya simu: (+255) 713 497 441

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Naitwa Wolford P. Pisa
Naishi Gairo kama Mwalimu wa Sekondari.
Pia ni mwanauchumi Bsc. Agricultural Economics and Agribusiness.
Ni mwanamuziki  na pia ni mwanakwaya kwa zaidi ya miaka 20.