Ingia / Jisajili

Yohana J. Magangali

Mfahamu Yohana J. Magangali, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Arusha Parokia ya Yosefu Mfanyakazi - Nambala

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 10 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Arusha

Parokia anayofanya utume: Yosefu Mfanyakazi - Nambala

Namba ya simu: 0629161095 au 0742267933

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Mimi ni Mkatoliki ninayependa muziki. Ni mwanafunzi wa Shahada ya pili (MSc. Biodiversity and Ecosystem Management) katika Taasisi ya Kiafrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (The Nelson Mandela African Institution of Science and Technology, Arusha).