Ingia / Jisajili

Yohana P Magogo

Mfahamu Yohana P Magogo, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Mwanza Parokia ya Mt Yohane

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 3 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Mwanza

Parokia anayofanya utume: Mt Yohane

Namba ya simu: +255 693 817 008

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Yohana P Magogo ni mtunzi wa muziki wa kidini kutoka Jimbo Kuu la Mwanza, Parokia ya Mt. Yohane. Anafundisha kwaya ya Mt. Paulo Fella katika Kigango cha Mt. Nicholas, Mwanza. Alizaliwa tarehe 6 Juni 1985.