Mtunzi: Aloyce Goden Kipangula
> Tazama Nyimbo nyingine za Aloyce Goden Kipangula
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Kwaresma
Umepakiwa na: Vusile Silonda
Umepakuliwa mara 27,141 | Umetazamwa mara 42,740
Download Nota Download Midi
Afichaye dhambi zake, afichaye dhambi zake hatafanikiwa x 2
Bali yeye, aziungamaye, na kuziacha, aziungamaye atapata rehema x 2
1. Mungu ni mwaminifu tukiyatubu makosa yetu, tena atatusamehe tukitubu toka moyoni.
2. Anatukaribisha wote kwenye meza ya upatanisho, tena anatuagiza tusibaki katika dhambi.
3. Tukiziungama dhambi zetu, Mungu wetu atatupokea, tena atatupokea kama yule mwana mpotevu.