Mtunzi: C. S. Chale
> Tazama Nyimbo nyingine za C. S. Chale
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 2,263 | Umetazamwa mara 5,528
Download Nota Download Midi2(a)Kaniahidi nikivumilia mpaka mwisho, nitamuona katika kiti chake cha enzi,
(b)Akanionya nijitenge mbali na wazushi, wasije wakanipo-tosha Imani yangu, hakika
3(a)Nijapoanguka katika dhambi ya mauti, ataiosha ikawa nyeupe kama sufi,
(b)Na tena nikimlilia katika ugumba, atanipa uzao kama nyota za Mbinguni, Ajabu
4.(a)Kwa hiyo moyo wangu umetulia kabisa, kwa kuwa ninajua kwamba liko tumaini,
(b)Atukuzwe Baba Mwana na Roho Mtakatifu, kama ilivyo mwanzo sasa na milele yote, Amina.