Mtunzi: Davis Milenguko
> Tazama Nyimbo nyingine za Davis Milenguko
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 1,917 | Umetazamwa mara 5,884
Download Nota Download MidiAhimidiwe Bwana ahimidiwe Bwana ahimidiwe Bwana lisifiwe Jina lisifiwe Jina, Jina la Mungu wetu x2
1. Mpeni Bwana utukufu wa Jina lake
Mpeni Bwana utukufu na nguvu
2. Ni Mungu mwenye fadhili za milele
Ahimidiwe Yeye anaye samehe
3. Kila mwenye pumzi amsifu Bwana sifa kuu za Mungu ziwe Kinywani mwake
Kila mwenye pumzi na amsifu Bwana na ahimidiwe na ahimidiwe na ahimidiwe na ahimidiwe