Ingia / Jisajili

Ahsante

Mtunzi: Nivard S Mwageni
> Mfahamu Zaidi Nivard S Mwageni
> Tazama Nyimbo nyingine za Nivard S Mwageni

Makundi Nyimbo: Shukrani

Umepakiwa na: Nivard Silvester

Umepakuliwa mara 1,092 | Umetazamwa mara 2,037

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kibwagizo. Tumekula mwili wako chakula bora, tumekunywa damu yako kinywaji safi, ni upendo gani huu niseme nini? Kiitikio. Ahsante Yesu ahsante, ahsante Yesu ahsante ahsante (Yesu ahsante) x2 1. Chakula bora kutoka mbinguni (mbinguni) tumeshibisha roho zetu ahsante (Yesu ahsante) 2. Kinywaji safi kutoka mbinguni (mbinguni) tumeshibisha roho zetu ahsante (Yesu ahsante) 3. Umetujalia afya njema (njema) tunakushuru Ee Yesu ahsante (Yesu ahsante)

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa