Ingia / Jisajili

Akawanyeshea Mana

Mtunzi: Joseph Rwiza
> Mfahamu Zaidi Joseph Rwiza
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Rwiza

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Joseph Rwiza

Umepakuliwa mara 13 | Umetazamwa mara 13

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 18 Mwaka B

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Akawanyeshea mama ili wale, akawanyeshea mana ili wale, akawapa nafaka ya mbinguni x2 1. Mambo tuliyoyasikia na kuyafahamu, ambayo baba walituambia, hayo hatuwaficha wana wao, huku tukiwaambia kizazi kingine, sifa za Bwana nuguvu zake 2. Lakini aliyaamuru mawingu juu, akaifungua milango ya mbinguni, akawanyeshea mana ili wale, akawapa nafaka ya mbinguni, akawapa nafaka ya mbinguni 3. Mwanadamu akala chakula cha mashujaa, aliwapelekea chakula chakuwashibisha, akawapeleka hadi mpaka wake mtakatifu, mlima alioununua kwa mkono wake, mkono wake wa kuume

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa