Ingia / Jisajili

ALELUYA

Mtunzi: JOB KOMBA
> Mfahamu Zaidi JOB KOMBA

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Job Komba

Umepakuliwa mara 347 | Umetazamwa mara 1,114

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Aleluya , Mimi ndimi njia na Ukweli na Uzima Asema Bwana Aleluya AU; Aleluya, Mimi ndimi chakula chenye Uzima , Kilichoshuka kutoka Mbinguni asema Bwana : Mtu akila chakula hiki ataishi Milele, Aleluya.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa