Mtunzi: Emmanuel Mwigagi
> Mfahamu Zaidi Emmanuel Mwigagi
> Tazama Nyimbo nyingine za Emmanuel Mwigagi
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Emmanuel Mwigagi
Umepakuliwa mara 1 | Umetazamwa mara 0
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Shangilio Mwili na Damu Takatifu ya Bwana Wetu Yesu Kristu Mwaka C
ALELUYA ALELUYA
MIMI NDIMI CHAKULA CHENYE UZIMA KILICHOSHUKA KUTOKA MBINGUNI ASEMA BWANA MTU AKILA CHAKULA HIKI ATAISHI MILELE ALELUYA