Mtunzi: Melchior Basil Syote
> Tazama Nyimbo nyingine za Melchior Basil Syote
Makundi Nyimbo: Kupaa kwa Bwana
Umepakiwa na: lucas mlingi
Umepakuliwa mara 3,311 | Umetazamwa mara 8,355
Download NotaALELUYA BASI ENENDENI.
Aleluya Aleluya (basi enendeni) mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi wangu
na tazama mimi nipo pamoja nanyi sikuzote Ale luya Aleluya Aleluya Aleluya.