Ingia / Jisajili

Aleluya

Mtunzi: E. F. Mlyuka. Jissu
> Tazama Nyimbo nyingine za E. F. Mlyuka. Jissu

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Noeli

Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata

Umepakuliwa mara 4,630 | Umetazamwa mara 8,080

Download Nota Download Midi

Maoni - Toa Maoni

Ansbert Anthony Dec 03, 2018
Hongera sana Swahili music kwa kazi nzuri. Maoni yangu ni kwamba mwl Jissu amecoment kwamba shangilio lake limefanyiwa marekebisho, lakin ni kama vile huo wimbo uliofanyiwa marekebisho haujawa uploaded bado, kama inawezekana naomba mtusaidie kuu upload kama upo tayari. Asante.

E . F . Jissu Dec 28, 2017
Mheshimiwa aliye upload huu wimbo ALELUYA. Ameupload ambao siyo unaohitajika kuja huku. Kwani upo ambao niliufanyia marekebisho na nikautuma sehemu mbalimbali ili utumike huo. Kifupi kunamarekebisho kwenye hili shangilio hivyo aliye upload afanye mawasiliano na mtuzi ili apate marekebisho hayo ambayo yalitoka wiki mbili kabla ya Krismasi.

Toa Maoni yako hapa