Mtunzi: Beatus M. Idama
> Tazama Nyimbo nyingine za Beatus M. Idama
Makundi Nyimbo: Misa
Umepakiwa na: Beatus Idama
Umepakuliwa mara 417 | Umetazamwa mara 2,215
Download Nota Download MidiAleluya aleluya, Aleluya aleluya x 2
Ewe Baba wa Bwana wetu Yesu Kristu uyatie nuru macho, macho ya mioyo yetu ili tulijue tumaini la mwito wake jinsi lilivyo.