Ingia / Jisajili

Aleluya Kuu

Mtunzi: George F. Handel
> Tazama Nyimbo nyingine za George F. Handel

Makundi Nyimbo: Pasaka

Umepakiwa na: Innocent Chaula

Umepakuliwa mara 46,372 | Umetazamwa mara 76,650

Download Nota Download Midi

Maoni - Toa Maoni

Hilalion Mushobozi Nov 21, 2019
Kazi nzuri sana

Wilehard Chotamasege Aug 15, 2018
Nauliza wimbo huu ulitungwa mwaka gani?

Fulgence Feb 19, 2018
aleluya ni nzuri cn haswa wanakwaya wakiwa zaidi ya 25 na kuendelea inapendeza

Yudathadei vedasto Dec 03, 2017
Kazi nzuri

Guillaume Oct 09, 2017
Kazi njema

Eliya Shimba Apr 22, 2017
Kazi Nzuri

Felister Apr 03, 2017
Naipenda sana aleluya kuu

salome Mar 07, 2017
nauombea utume wa uimbaji use mwema na upate kibali mbele za USO wa mungu

nibigiraem@yahoo.fr Oct 16, 2016
napongeza sana wanamuziki wa nyimbo za Kanisa Tanzania wanatushirikisha kusali mara mbili

alex mponzi Oct 10, 2016
Pongeza, Kosoa.... Uwe mstaarabu

Alfayo Sep 04, 2016
Hongera kwa aliye uweka lakin naona pale mwanzon Bar ya pili kwa upande wa sauti ya tatu..nkisikiliza kwaya baadhi hasa za kijeruman nasikia wanaimba nota ***do..do soso*** lkn hapo kwenenye sheet naona imeandikwa ***do..So soso** sasa sijui hapo ipi ni sahihi zaidi

Gregory Mduda Aug 12, 2016
Hongera, lakini natafuta huu wimbo siupati.

michael Jun 04, 2016
amejitahid kiasi cha uwezo wake

Toa Maoni yako hapa