Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu
Makundi Nyimbo: Misa
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 3,313 | Umetazamwa mara 9,387
Download Nota Download MidiJOHN. MGANDU.
08. 01. 1990
Aleluya aleluya aleluya aleluya, aleluya aleluya (aleluya) aleluya
Wakasema ndiye mbarikiwa, Mfalme Mfalme ajaye kwa jina la Bwana amani mbinguni na utukufu huko juu, huko juu.