Ingia / Jisajili

Aleluya Mshukuruni Bwana

Mtunzi: Charles Saasita
> Mfahamu Zaidi Charles Saasita
> Tazama Nyimbo nyingine za Charles Saasita

Makundi Nyimbo: Shukrani | Zaburi

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 1,702 | Umetazamwa mara 3,272

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Aleluya aleluya aleluya aleluya mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema, tangazeni sifa zake hubirini pande zote semeni ya kuwa Bwana ni mwema

Fadhili zake ni za milele na rehema zake (na rehema zake) na rehema zake na rehema zake rehema zake ni kwa vizazi X2

1. Ni nani awezaye kuyanena matendo makuu ya Bwana kuzihubiri sifa zake zote

2. Wa heri wazishikao hukumu na kutenda kutenda haki na kutenda haki siku zote

3. Ee Bwana unikumbuke na mimi kwa kibali kwa watu wako unijilie kwa wokovu wako

Maoni - Toa Maoni

steve kichia Sep 10, 2021
ASANTE SANA KWA HILI

Toa Maoni yako hapa