Ingia / Jisajili

Aleluya Msifuni Bwana

Mtunzi: Linus Kamarasente
> Mfahamu Zaidi Linus Kamarasente
> Tazama Nyimbo nyingine za Linus Kamarasente

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Linus Kamarasente

Umepakuliwa mara 7 | Umetazamwa mara 11

Download Nota
Maneno ya wimbo

Msifuni Bwana kwakuwa ni mwema, kwamaana fadhili zake ni za milele..

Aleluya aleluya msifuni Bwana enyi watumishi wake msifuni Bwana, tangazeni sifa zake hubirini kote habari za utukufu utukufu wake. Yeye aliyeigawa bahari ya shamu akawavusha israel kati yake ×2


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa