Mtunzi: Beatus M. Idama
> Tazama Nyimbo nyingine za Beatus M. Idama
Makundi Nyimbo: Misa
Umepakiwa na: Beatus Idama
Umepakuliwa mara 607 | Umetazamwa mara 3,197
Download Nota Download MidiALELUYA - NENA BWANA
//:Aleluya (aleluya)
Aleluya (aleluya)
Aleluya Aleluya://
Nena Bwana kwa kuwa mtumishi wako anasikia, wewe unayo maneno ya uzima, wewe unayo maneno ya uzima.